In tune with our Customers need and popular demand, Datasoft has always strived to offer its customers the most affordable solutions. And this time we offer the best bundled prices for Cpanel at...
Tuletee dili la kazi za stationary, kama kutengeneza vitambulisho, kadi vyeti nkthen 25% percent itakuwa yako katika kila deal mfano za mashuleni nk.0713774746 ( whatsapp) tutakutumia sample ya...
Ukubwa :40ft kwa 50ft
Bei :2,000,000/= pia tunapokea malipo nusu kwa muda usiozidi siku 30
Mahali :Msongola wilaya ya Ilala na Chamazi wilaya ya Temeke
pia mnunuzi anaweza kudouble...
Habari wana JF!?
Nimepata mbwa wa ulinzi ni cross breed na GS. Kidume cha miezi 3, nafikiri ni wakati muafaka nikapata trainer ili huyu mbwa akue ktk njia na namna ambayo mimi na familia...
Natafuta Nyumba yenye sifa zifuatazo:-
sitting room,
choo ndani
jiko
vyumba 2 au hata kimoja cha kulala!
Mambo mengine ni ya ziada.
nataka maeneo ya!
tabata
kigamboni
ubungo
airpot
maelezo...
Yanasaidia kwa wangonjwa wa kansa napia kwa kwawale wanao taka mechi ifike mbali.bei ni sh25000 kwa trey ukichukuwa zaid ya trey 4 nakuletea adi ulipo.my no 0712155462
If you have a valuable document you wouldn't dare to present/submit it with typographical errors. You risk tainting your image and credibility. Why not let me proofread your valuable document...
Habari wana jf... Ni matumaini yangu mu~wazima wa afya kwa wagonjwa poleni!
Langu Mimi ni moja tu, ninajiamini nina kipaji lakini nahisi kinakufa sababu ya kushindwa kukitumia na...
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa...
Habari,
Kiwanja kilichopimwa na chenye documents zote muhimu kinauzwa morogoro mjini mtaa wa "Lukobe mwanzo"
Kiwanja kina ukubwa wa 672 square meters na kinafikika kwa gari. Bei ni Tshs 5.5 mil...
Bei 680k. Imetumika kwa muda wa miezi miwili na siku kadhaa...Pia ina warranty card. Ipo katika hali nzuri sana. Kwa anahitaji mwasiliano yangu ni 0657113536
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.