Pitia Hapa Tafadhali!!@

Pitia Hapa Tafadhali!!@

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari wana jf... Ni matumaini yangu mu~wazima wa afya kwa wagonjwa poleni!

Langu Mimi ni moja tu, ninajiamini nina kipaji lakini nahisi kinakufa sababu ya kushindwa kukitumia na kukikuza..nimebarikiwa kuwa na mkono na kichwa kizuri katika kuandaa stori nzuri inayogusia maisha, mapenzi na mengine!!, vilevile inapokamilika inawezwa kutengenezewa script na kucheza kama filamu..pekee hilo pia naliweza...vile vile naweza acting japo sijalitilia nguvu sana hilo..najua humu kumejumuisha watu wengi...wale wapenzi wa stories na filamu..plz tuaaidiane., nipate kufanya kazi nzuri na mafanikio. Mpaka sasa nina stori nyingi nikijumuisha Bahati Yangu, Chozi la kusudi, Kitabu chekundu n.k

Nipo Dar. Karibu PM.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom