HP Laptop inauzwa!

HP Laptop inauzwa!

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Wajameni ninazo HP laptops mbili hapa Dar kwa anayehitaji nitafute soon maana kuna swala limenibana inabini nirekebishe fasta. 0715763186.

Ahsanteni
 
ivi na technolojia inavyokwenda na kubadilika kwa kasi ivi kweli watu bado wananunua laptop???... mm ngoja wateja wako watakupigia tu
 
Wajameni ninazo HP laptops mbili hapa Dar kwa anayehitaji nitafute soon maana kuna swala limenibana inabini nirekebishe fasta. 0715763186.

Ahsanteni

Weka picha mkuu itasaidia sana watu wengi ni visual learners, pia taja specifications za kila laptop.
Ni hayo tu
 
weka specifications ... laptop ndo nini bila specs
 
Back
Top Bottom