Looking for a dog trainer

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Habari wana JF!?

Nimepata mbwa wa ulinzi ni cross breed na GS. Kidume cha miezi 3, nafikiri ni wakati muafaka nikapata trainer ili huyu mbwa akue ktk njia na namna ambayo mimi na familia tutaweza kummanage vizuri.

Kama kuna recommendations please send me PM.
 
Huyo ni puppy bado haitaji trainer,ni wewe kumfundisha commands chache kama za kujua jina lake,kumkataza kitu nk. Mbwa ambaye anakuwa tayari kwa mafunzo ni miezi 6 na zaidi.

Pia kama uko tayari kuingia gharama hivyo ni bora pia ukatafuta pure gsd ambaye ni mlinzi mzuri na ana akili nyingi.
 
Kama nakumbuka vizuri SG huwa wanaanza training baada ya umri wa miezi 6, kabla hajafikisha mwaka mmoja. Miezi mi3 ni mdogo sana bado kwa training.
 
Mi nna swali hivi mbwa wa kawaida hawa wanaoitwaga (koko) wanaweza kuwa trained au ndo akili zao ndogo?
 
Kama nakumbuka vizuri SG huwa wanaanza training baada ya umri wa miezi 6, kabla hajafikisha mwaka mmoja. Miezi mi3 ni mdogo sana bado kwa training.

Thanks mkuu, well noted!!
 
Huyo ni puppy bado haitaji trainer,ni wewe kumfundisha commands chache kama za kujua jina lake,kumkataza kitu nk. Mbwa ambaye anakuwa tayari kwa mafunzo ni miezi 6 na zaidi.

Pia kama uko tayari kuingia gharama hivyo ni bora pia ukatafuta pure gsd ambaye ni mlinzi mzuri na ana akili nyingi.

Many thanks mkuu.
Huyu ni Labrador Retriever + GSD don't know kama anaweza kuwa na akili sawa na GSD.
 
Huyo ni puppy bado haitaji trainer,ni wewe kumfundisha commands chache kama za kujua jina lake,kumkataza kitu nk. Mbwa ambaye anakuwa tayari kwa mafunzo ni miezi 6 na zaidi.

Pia kama uko tayari kuingia gharama hivyo ni bora pia ukatafuta pure gsd ambaye ni mlinzi mzuri na ana akili nyingi.

Mkuu bado sijapata jibu lakini. Maana huyu anaendelea kukua and in 3 months atakuwa tayari anafaa kuwa trained. Do you have any recomendations of how or where I can get the trainer?
 
Kama nakumbuka vizuri SG huwa wanaanza training baada ya umri wa miezi 6, kabla hajafikisha mwaka mmoja. Miezi mi3 ni mdogo sana bado kwa training.

Mkuu Riwa ushauri wako uko kamili ila huyu mbwa hatakaa 3months forever ndo maana nahitaji kupata trainer ambae ataweza kumfundisha/conditioning atakapofika 6+ months.
Nipeni recommendations wakuu! JF najua ndo mambo yote...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kuhusu dog trainning mbwa anaanza at early stage hata mwezi mmoja. Tena inakuwa rahisi sana. Nashauri nenda Polisi Kilwa. Dogs section pale utapata handler mzuri atakufundishia bila taabu.

Labrador wana akili zaidi kuliko hata hao GSD.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom