Kiwanja kinauzwa, Kipo Salasala Kinzudi

Kiwanja kinauzwa, Kipo Salasala Kinzudi

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa.Bei 8m
0769 222 882
 
Yes hadi mwisho wa daladala pale usukumani ni jirani na shule ya St. Elizabeth kama unaijua.
 
Weka namba yako hapa mkuu kuna jamaa yangu anatafuta nitamstua.
I hope sio cha magumaashi lakini....
 
Nimekinunua 2012 m10 na aliyeniuzia ni mama mtu mzima amejenga hapo ndiyo anaishi amepakana na kiwanja.Mama au tuseme bibi maarufu pale maana ndiyo watu Wa kwanza kuishi maeneo hayo miaka ya 1970 so niuhakika.Ninashida inabidi ishughulikiwe mapema sana ndiyo sababu yakuuza. 0769222882
 
Nimekusoma mkuu ngoja tuone inakuaje
 
Attachments

  • 1417891328845.jpg
    1417891328845.jpg
    96.7 KB · Views: 232
  • 1417891352763.jpg
    1417891352763.jpg
    107.5 KB · Views: 221
  • 1417891389631.jpg
    1417891389631.jpg
    61 KB · Views: 202
Mnh mkuu mbona picha ndizo hizo hizo ulizoweka kwenye kile kiwanja cha 20*20?
 
Kimeungana hiyo 20x20 ninakigawa tu katikati hicho ni 20x40
 
Kwa anayetaka kuangalia tupeane taarifa mapema
 
Nimekinunua 2012 m10 na aliyeniuzia ni mama mtu mzima amejenga hapo ndiyo anaishi amepakana na kiwanja.Mama au tuseme bibi maarufu pale maana ndiyo watu Wa kwanza kuishi maeneo hayo miaka ya 1970 so niuhakika.Ninashida inabidi ishughulikiwe mapema sana ndiyo sababu yakuuza. 0769222882

Sio kweli miaka ya 70 Mwenge penyewe palikua pori, sasa sijui nani angekuja kukaa huko Kinzudi miaka ya 70!!!
 
Unabishana na ukweli,yaani watu wote waliishi mjini? Watoto waliozaliwa hapo wanawatoto na waijukuu usiwe mbishi wa hisia tu.Enzi hizo ni kijijini na mjini walikuwa wanakwenda Kawe nahapakua na Mbezi beach
 
Miaka ya 70 kinzudi hakukua na mtu...huo ndio ukweli wewe tangaza bei wacha longo longo za miaka ya 70...
 
ahahahahaha mbezi beach yenyewe haikuwepo,sinza yenyewe ilikuwa mashamba ya mpunga tabata simba kibao ila kunduchi mtongani kamji kalongtime sana kale
 
Unabishana na ukweli,yaani watu wote waliishi mjini? Watoto waliozaliwa hapo wanawatoto na waijukuu usiwe mbishi wa hisia tu.Enzi hizo ni kijijini na mjini walikuwa wanakwenda Kawe nahapakua na Mbezi beach
kulikuwa na simba enzi hizo
 
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa.Bei 8m
0769 222 882
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom