ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Dec 8, 2014 #1 Natafuta Nyumba yenye sifa zifuatazo:- sitting room, choo ndani jiko vyumba 2 au hata kimoja cha kulala! Mambo mengine ni ya ziada. nataka maeneo ya! tabata kigamboni ubungo airpot maelezo zaidi 0713644485 nataka kuhamia kuanzi tarehe 20 January
Natafuta Nyumba yenye sifa zifuatazo:- sitting room, choo ndani jiko vyumba 2 au hata kimoja cha kulala! Mambo mengine ni ya ziada. nataka maeneo ya! tabata kigamboni ubungo airpot maelezo zaidi 0713644485 nataka kuhamia kuanzi tarehe 20 January
DONALD JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 275 Reaction score 35 Dec 8, 2014 #2 weka bajeti yako, kuna cha laki 3 kwa mwezi kipo mbezi makonde karibu na main road... ata kesho unaweza hamia..........
weka bajeti yako, kuna cha laki 3 kwa mwezi kipo mbezi makonde karibu na main road... ata kesho unaweza hamia..........
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Dec 8, 2014 Thread starter #3 DONALD said: weka bajeti yako, kuna cha laki 3 kwa mwezi kipo mbezi makonde karibu na main road... ata kesho unaweza hamia.......... Click to expand... nadhani nimean sehemu nazohitaji!!
DONALD said: weka bajeti yako, kuna cha laki 3 kwa mwezi kipo mbezi makonde karibu na main road... ata kesho unaweza hamia.......... Click to expand... nadhani nimean sehemu nazohitaji!!
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Dec 10, 2014 #4 ERIK said: Natafuta Nyumba yenye sifa zifuatazo:- sitting room, choo ndani jiko vyumba 2 au hata kimoja cha kulala! Mambo mengine ni ya ziada. nataka maeneo ya! tabata kigamboni ubungo airpot maelezo zaidi 0713644485 nataka kuhamia kuanzi tarehe 20 January Click to expand... Weka barget
ERIK said: Natafuta Nyumba yenye sifa zifuatazo:- sitting room, choo ndani jiko vyumba 2 au hata kimoja cha kulala! Mambo mengine ni ya ziada. nataka maeneo ya! tabata kigamboni ubungo airpot maelezo zaidi 0713644485 nataka kuhamia kuanzi tarehe 20 January Click to expand... Weka barget