Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

At Mwakaleli enterprises & Baeze enterprises .keko bora,Dar Call, +255 713406865/+255 717 660670 /+255 714 767850 / +255 767 406866.
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Mwenye nayo ani PM faster tufanye biashara bajeti yangu elf 90,000/= cash Npo dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahitaji smartphone haraka iliyo kwenye hali nzur na kioo kisiwe kidogo........shuka hapa na aina ya cm yako ama nitafute kwa 0756082306
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yoyote mwenye Tecno H5 au Tecno P5 naihitaji haraka iwezekanaavyo dau langu ni 90000 net sinaa zaidi wakuu zangu..mawasiliano yangu ni 0652361842
0 Reactions
3 Replies
1K Views
King'amzi cha Continental 45000/- na power regulator 40000/- . Dar es salaaam. 0769222882
0 Reactions
2 Replies
1K Views
As per heading above, Natafuta Nyumba ya kupanga maeneo tajwa. Kama unayo ni PM NB: Hata mwenye nyumba maeneo tofauti anaweza kunicheck, pia awetayari kutuma picha kabwa ya kwenda sight.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habar,natafuta simu hiyo mwenye nayo basi tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Hivi suzuki escudo na nisani X-trail zote zikiwa na CC2000, ni ipi imara kwa upande wa kudumu,ufanisi,spare na mafuta.Pia status nzuri?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za ushauri juu ya Uandishi wa Research Proposal and Dissertation, Data Analysis and Project Proposal Write Up. Contact; Tell; +255754660061 or +255786 660061 WhatsApp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Security considerations of our public cloud and private cloud server customers has always been our priority and will be in the years to come. At Datasoft, we also understand the need of our...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Habari wakuu...nauza simu ya samsung s3. 16Gb...internal 4.3 Android version..Jelly bean 1.7Ghz processor 2Gb...Ram 8Megapixel...back camera 2Megapixel...front camera 4G LTE ##PM me if...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tripod mpya.. engineered for use with 35mm, 8mm camcorders and digital cameras...Tsh 150000... 0719934875...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora,sh.12000/= kwa lita! Wasiliana nami kwa pm. KARIBUNI SANA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye nayo,anisaidie..nipo dsm...shukrani wakuu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
- Tunafanya repair za laptop na desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida. - Motherboard repair: Tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Fekon ina namba "c " bado ipo fresh kabisa, kadi yake ipo imetumika miezi 8 ! Nauza, sababu ya kuuza nataka kujilipia ada ya chuo !! Serious buyer ni pm
0 Reactions
12 Replies
2K Views
pikipiki aina ya fekon ipo katika hali nzuri,ime2mika miez 4 bei m1. Anaehtaj ani pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
inafaa kwa ajili ya wasafiri, mikutano, semina Processor: Intel Atom 1.6 GHz Cache: 512KB L2 Memory: 2GB DDR2 SDRAM Hard drive: 64GB ATA100 Graphics card: Mobile Intel Graphics Media...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Wadau JF, Naamini mmeuanza mwaka vizuri mkiwa wazima wa afya njema. Nahitaji kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya familia na sehemu nyingine ibaki.Kiwanja kiwe HALALI na kimepimwa kipo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa kwa haraka bei ni tsh 150 mil.mazungumo yapo kidogo! Nyumba kubwa bado finishing ina vyumba vitatu, kimoja master, sitting room, dinning, kitchen na store pia kuna banda la uani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom