Nyumba inauzwa Sinza kwa Remmy block 'B'

Nyumba inauzwa Sinza kwa Remmy block 'B'

Joined
Dec 30, 2010
Posts
79
Reaction score
55
Nyumba inauzwa kwa haraka bei ni tsh 150 mil.mazungumo yapo kidogo! Nyumba kubwa bado finishing ina vyumba vitatu, kimoja master, sitting room, dinning, kitchen na store pia kuna banda la uani lina vyumba viwili na sitting room. Document zote muhimu zipo.

Kwa mnunuzi serious apige no. : 0789 476 655
 
Dah! I wish ningekuwa na pesa, natamani kuwa na nyumba Sinza au K'Nyama. Utawapata wateja si muda mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom