Natafuta Tecno H5 AU P5 nina 90000

Natafuta Tecno H5 AU P5 nina 90000

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,869
Reaction score
2,119
Kwa yoyote mwenye Tecno H5 au Tecno P5 naihitaji haraka iwezekanaavyo dau langu ni 90000 net sinaa zaidi wakuu zangu..mawasiliano yangu ni 0652361842
 
Kwa yoyote mwenye Tecno H5 au Tecno P5 naihitaji haraka iwezekanaavyo dau langu ni 90000 net sinaa zaidi wakuu zangu..

kama used sawa, ila brand new inapaa mpaka laki moja na nusu mpaka sitini kwa kariakoo.

Nilikuwepo jana mitaa ya kariakoo nasaka Huawei bird i900 nimepata kwa shs laki moja na nusu,

hiyo tecno p5 bei yake ni laki 1.5 pia mpya, ila internet yake ni 1.3G wakati huawei i900 ina 3G.

Endelea kusubiri mkuu.. utapata.
 
Ndiyo nahitaji hata used kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom