Pikipiki inauzwa

Pikipiki inauzwa

SUPERGIFTED

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
9
Reaction score
2
pikipiki aina ya fekon ipo katika hali nzuri,ime2mika miez 4 bei m1.
Anaehtaj ani pm
 
Haipungui bei mkuu? mimi nipo Arusha hapa vipi nauli ya kutoka arusha mpaka huko pm ni shilingi ngapi maana sijasafiri mda mrefu
 
haipungui mkuu,kuhusu nauli cjajua coz me cyo m2 wa safar sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom