Msaada jamani kuhusu Suzuki escudo na NIssan X-trail

Msaada jamani kuhusu Suzuki escudo na NIssan X-trail

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
477
Hivi suzuki escudo na nisani X-trail zote zikiwa na CC2000, ni ipi imara kwa upande wa kudumu,ufanisi,spare na mafuta.Pia status nzuri?
 
escudo ni imara zaidi kuliko X-trail coz ,as per me!
 
Nasikia magari yote huwa ni magumu ila matunzo tu ndio hufanya lingine life haraka
 
bora escudo ngumu hiyo xtrail huwa hainyoshek mashavu ya plastic lain
 
Back
Top Bottom