Nyumba ya kupanga Msasani, Mbezi beach, bajeti 200 / Month

Nyumba ya kupanga Msasani, Mbezi beach, bajeti 200 / Month

Chief Lugina

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
286
Reaction score
77
As per heading above, Natafuta Nyumba ya kupanga maeneo tajwa. Kama unayo ni PM

NB: Hata mwenye nyumba maeneo tofauti anaweza kunicheck, pia awetayari kutuma picha kabwa ya kwenda sight.
 
As per heading above, Natafuta chumba cha kupanga maeneo tajwa. Kama unayo ni PM

NB: Hata mwenye nyumba maeneo tofauti anaweza kunicheck, pia awetayari kutuma picha kabwa ya kwenda sight.

Mkuu kwa hiyo bajeti yako ni interms of USD au Tsh..fafanua zaidi
 
kuna nyumba iko mbezi makonde ,kilo3 kwa mwezi..kodi miezi 6..vipi utaweza au we ni chumba tu..?
 
iko fresh kabisa,small small repairs zilizopo ni wewe ukilipa hiyo amount ya 6 months au one year zinafanyika ukiwa ndani ....!!

nicheki 0755 927881
 
Back
Top Bottom