Last chance for this, MANUAL, cc1825, black metallic, 95k miles, leather interior, ac, abs, clean and in perfect working condition, ishalipiwa kila kitu, chukua uendeshe, bei ni 16m. B in touch...
Dear all...Free delivery in Dar Es Salaam
Just arrived Gowin A2 for sale
Comes in white and black color
Android Os v4.4.2
Dual sim 3G
5.0MP
4.0GB internal
It has a sensor at back cover so u...
Heshima kwenu wawekezaji.Rejea kichwa hapo juu.Lipo Mkoan Iringa wilaya ya Kilolo sehemu za dabaga.Eneo hilo linafaa kwa kupanda miti ya mbao hasa PINES.Hali ya hewa na rotuba ni surpportive kwa...
Jaman naomba msaada kwa mtu yeyote anaeujua ubora na udhaifu wa hiyo simu aniambie maana nataka niinunue. Na je bei zake madukan kwa kwa sasa zina range kuanzia shiling ngap za kitanzania?
Hili swala limekuwa possible sana kwa mtu kuweka kulifanya download Ogwhatsapp then install number ya mwanzo kama una latest new WhatsApp ifute kwanza then anza kuinstall Ogwhatsapp huku uki...
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo...
Habari waungwana wote!Ngoja kwanza nianze kwa kutoapole na mihangaiko ya kuzungusha gurudumu la maendeleo kwa wale wanaojitumakila kukicha kwa kutafuta riziki. Sio siri ya kwamba humu ndani wengi...
Wadau nahitaji viti vya baa vya kaunta vya kisasa kwa ajili ya ka grosary kangu
nipo mpanda kwa mdau yeyote aniambie vnapatikanaje, usafiri na bei yake, vizuri zaidi kama nitapata picha na...
natafuta nokia e63 used iliyo ktk hali nzuri, isiwe na dosari yoyote ile. bajeti yangu ni 40,000/= cash, ukiwa interested nicheki 0714-408238/ 0788-252045. nipo dsm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.