Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Prado hiyo namba A, diesel.....mil.14 haraka haraka kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Inch 32 shs. Laki saba na inch 40 ni mil 1.3 kama upo serious na deal ni chek 0716385824
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu wafanya biashara za nafaka ni habari njema kwenu. Ninayo maharage madogo madogo rangi nyekundu kiasi tani 16 na kilo 860. Maharage haya niyo hapa Bukoba mjini mkoa wa Kagera. Ambeye yuko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu,Nahitaji kitanda na godoro,6kwa 5,nina nipo dsm
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Aphrodiasiac activity – INAONGEZA HAMU YA MAPENZI KWA AKINA MAMA NA AKINA BABA KWA ASILIMIA ZAIDI YA 180, STAMINA NA NGUVU Inasaidia kuondoa depression-msongo wa mawazo. Inasadia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Printer ina function za Printing,Copying na Scanning inauzwa Tshs 400,000/=.Imetumika miezi miwili tu kwa shughuli binafsi ndogondogo.Kwa anayehitaji tuwasiliane 0787926671 nipo Bunda,MARA.:israel:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta pool table used, najua wengi wame ya dump naitaji ambalo nitalifanyia matengenezo linisaidie vinauli nina 250 tshs
0 Reactions
0 Replies
986 Views
BEI NI SH LAKI 2.8 TSH haipungui ni pm au whatsapp me 0659387945, niko TABATA, DAR ES SALAAM Computer iko katika hali nzuri inatumika kama kawaida, battery life bado iko vizuri (tazama katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Desktop aina ya DELL OPTIPLEX inauzwa CPU yake ina 3GHz processor,1GB of RAM,80GB Hard disk,DVD writer na Monitor yake ni flat ya INCH 17,Haina tatizo...bei yake ni laki 1 na 80...kama unahitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi!bajaj inauzwa iko katika hali nzur sana bei inaanzia 4mil nauza coz nataka nifungue biashara nyingne kiufup aina tatzo pia kuusu punguzo tutaongea pm me or call 0719474102 uione wasap
0 Reactions
3 Replies
1K Views
pata line ya tigopesa kwa laki 450 Pamoja na float ya laki 3.kwa wakazi wa kilimanjaro mawasiliano.0713132226
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Tafadhali mwenye kuuza flash bei ya jumla kuanzia 4gb to 128gb ziwe original tu,ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mizani ya kupima uzito wa mwanadamu, je inauzwa wapi? Kwa anayejua naomba nijulishe. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hey, Nipo hapa Zanzibar kikazi ila kuna jamaa yangu anauza gari aina ya vits kwa mil.4 ni nzima iko poa kwa mwenye kuhitaji. Nawasilisha napatikana pmetthew@gmail.com
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni nyumba kuwa na nzuri ya kisasa, ina vyumba vinne, kimoja kikubwa zaidi ina jiko na vyoo ndani, kila sehemu chini ina marumaru, ina geti na inajitegemea ipo mwenge karibu na mama ngoma hospital...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
GPS tracker is a good tool to tracking your car or motorbike real time. With it, you don't worry about the car stolen any more. You can track your car real time place with cellphone. Just send...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:A S 465:Phone Sold!! :A S 465:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni aina ya West point na ni ya milango miwili kwa 350000 anaehitaji tuwasiliane 0718096900
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kadi ipo imetumika miezi tisa haina tatizo lolote nauza sababu ninahitaji ada ya chuo nikalipe nadaiwa !! Seriously buyer ni pm
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom