Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Desktop aina ya DELL OPTIPLEX inauzwa CPU yake ina 3GHz processor,1GB of RAM,80GB Hard disk,DVD writer na Monitor yake ni flat ya INCH 17,Haina tatizo...bei yake ni laki 1 na 80...kama unahitaji CPU peke yake ni laki 1 na 20,kwa atakayehitaji anitafute kwa "0712269097" asanteni.