Habari!
Je una wazo la kujenga ama kuishi morogoro mjini? Kama ndio ngoja nikupe dili...
Ipo nyumba yenye vyumba 6 (zile nyumba zenye vyumba kwa ajil ya kupangisha, bila sebule) na uwanja...
LG Fringe ina uzwa ime tumika kidogo kwa miezi miwili, ni de-frost system. kubwa ina milango miwili juu na chini ujazo wa kuyosha....!
if interested call 0685 723472
Samsung LED 22 INCH TV (UE22C4000) For sale.
2 HDMI PORTS, USB PORT, PC PORT (CAN BE USED AS MONITOR) DIGITAL AUDIO OUTPUT, COMPONENT SHARING AND DVI PORT. GiVE ME YOUR BEST OFFER
Call: 07132183886
Kichwa cha habari tu kinajitosheleza hivyo anayehitaji amtafute muhusika huyo mwenyewe wamalizane kupitia namba hii ya zantel 0774 072792. Ana vifaa karibia vyote vya kuuzia chips na pia lipo eneo...
Description
This super stylish, covert spy clock records video, takes photographs, has an ingenious motion and sound detector, and of tells the time.
With a stylish stainless steel finish and...
Solar power bank yenye mAh 30000. Unaweza kuchargia kwa solar au umeme. Package include 1 solar power charger, 1 USB cable na 4 charger adopters.bei ni laki moja tuu, Kama umeipenda pm, unaletewa...
-Wachoraji bora wa ramani za nyumba/majengo kwa gharama nafuu
-Wajenzi wa nyumba bora,imara na za kisasa kwa gharama nafuu sana.
-Wabadilishaji wa muundo wa majengo/nyumba yaliyopo/zilizopo kwa...
Habari wana Jamiiforums, Mimi nipo Magomeni Kagera, nauza samaki aina ya Sangara kutoka Mwanza. wapo wabichi na waliokaangwa, bei ni nzuri.
Utapata kwa matumizi ya nyumbani, katika baa kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.