Wadau ninauza viwanja viwili vyote vipo wazo Mivumoni kwa Makamba.
1. Kiwanja cha kwanza ukubwa ni 20*20- Maji umeme vipo na usafiri wa daladala unapatikana mpaka karibu na kiwanja. Bei ya...
JAMANI NAOMBA MSAADA WA MAWAZO AU HATA ZAIDI
Mm ni mwandishi wa vitabu vya lugha . English _ Swahili hatua ya 1 na 2
Tatizo ni kwamba nashindwa kufanya biashara kwa sababu sijui soko lake...
Kama inavyoonekana nahtaji nyimbo za SDA mwenye hzo nymbo za kutosha ancheki tafadhari usje ukawa na vinymbo mia tu bnafs nnazo zaid ya mia 2,pia usiwe wale waingza nymbo kwny cm hasa wa kkoo,wote...
Barber chair used lakini viko katika hali nzuri sana ,vinapanda juu na kushuka ,vimekaa tu stoo zaidi ya nusu mwaka .
Bei. Tsh 450000.00 kwa kimoja .Tunaweza kukutumia picha kwa watsapps .Piga...
Wakuu naomba kujua ni simu aina gani nokia,tecno,iphones,htc,huawei,blackberry,samsung,sonny xperia,itel au aina gani ambazo huwa na nguvu ya network hasa katika maeneo ambayo yana mtandao wa shida?
Nauza vifaa vya saluni,drayer,steamer,hand dryer,dish la kuoshea nywele,rolazi n.k vmetumika kwa muda wa miezi sita tu nipo dar es salaam kwa atakae hitaji tuwasiliane kwenye namba 0718096900 bei...
Simu tajwa hapo juu inauzwa ipo kwenye condition nzuri sana,imetumika miezi mitatu haina tatizo lolote na inatumia line zote bei no 150,000 (laki na hamsini ) fixed, anayehitaji anitafute kwa...
1.video camera 3m
2. mini laptop 250
3.pikipiki haina ya fekon 1.2 m
note: mini laptop na kasora moja tu kwenye screen.inaweka lini moja nyeusi. unaweza kuibadilisha, pia unaweza kuitumia...
Laptop ya fujitsu harddisk 500gb,ram 4gb,webcap price 450,000 na pia min laptop ya acer webcam harddisk 320 gb,ram 1 gb Price 300,000 zote ni mpya kama upo interested nichek 0716385824
Hii ni fursa ya wadau katika sekta ya tamthilia na filamu, wakiwemo watayarishaji chipukizi na wakongwe kuongeza ujuzi wao.
Mafunzo hayo ni ya muda mfupi. Baadhi ya vitu vitakavyo fundishwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.