Muuzaji wa flash original bei ya jumla

Muuzaji wa flash original bei ya jumla

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Tafadhali mwenye kuuza flash bei ya jumla kuanzia 4gb to 128gb ziwe original tu,ani pm
 
Original wamaanisha nini? Maana original naamini ni halisi ambayo imetengenezwa kiwanda A bila kujali brand. Fake imetengenezwa na kiwanda B ila akadanganya kwamba imetengenezwa na kiwanda A. Sasa wewe wataka original brand? u flash yoyote hata isiyo na jina kubwa lakini imetoka kwenye kiwanda halisi? Au wataka yoyote iliyo branded...
 
Kaka kama unafanya necta? Nina maanisha kitu isiyokuwa na matatizo,high quality,viwango bora.

Sorry. Kuna mtu nafahamu huagiza branded na genuine memory stick. Aina za Adata, SanDisk, Transcend, Sony na nyingine. Kama wataka ni PM.
 
Naomba unipim kama kweli uko serious kwa kununua jumla.....
 
Back
Top Bottom