Niuzie kitanda na godoro

Niuzie kitanda na godoro

ps2 2014

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
108
Reaction score
120
Habari wakuu,Nahitaji kitanda na godoro,6kwa 5,nina nipo dsm
 
Hahahahaa dah haya mkuu, kitanda na godoro 5x6 kwa 90000, I can't imagine vitakuwa vimechakaa kiasi gani!
 
Hv we jamaa unamatatzo eeh.
6 kwa 5 ktanda then na godoro kabsa kwa hela hiyo we unadhan maisha rahis hvyo sio..
 
Ni kweli kaka,hiyo ni plan b,90000 ni kianzio tu,maongezi yapo,shukrani
Nakushauri km ndo unaanza maisha, nunua godoro kwanza huku ukijipanga kununua na kitanda. Godoro ndio lina ulazima zaidi kwa kuanzia maisha.
 
Aah kaka,nilale chn vp na msimbazi 9 mfukoni?
sijui kama siku hizi kuna 'banco' vile vitanda vya chuma na spring. kwa msimbazi 9 huwezi kuuziwa ndio nakushauri ukilala sakafuni 5*6 utaipata safi kabisa.
 
Elfu 40, hili hapa:

:msela:

DSC01002.jpg
 
Hahaha,maongezi yapo tunaanzia hapo 90 kwenda juu.
 
kama kunavitu sipendi kununua ni used matress. Unalala unafikiria ni wangapi wamengonoka hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom