Niuzie TV

Niuzie TV

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
421
Reaction score
254
Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni.
 
Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni.

njoo nikupe TCL LED FLAT TV ..32'inches ..mpyaaa full box. ina mwezi mmoja tu..
ntie 480k nkuachie jamaa.. iko dar..
pia kuna singsung led flat tv...22'inches ina mwaka mmoja ila ni iko safi sana ... inataka 270k...ila hii iko dodoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom