Ni used, but ipo sealed kwan imetumika masaa 74 tu. nauza 500k (Laki tano na maelewano yapo) anayehitaji ani pm.nipo Dar ila hata wa mkoani naweza ituma kwa maelewano tutayo ingia
Lamp Life...
Ni lifan nyekundu cc 150, imetumika miaka miwili, inatembea, haina kadi (imepotea), waweza kuchongesha, namba t37.byl. Bei ni laki tatu tu. Nipo dsm, mbagala. 0714-408238/ 0788-252045. Nashindwa...
Zipo pembezoni mwa chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa kuelekea makongo juu. Zipo katika uzio mmoja. Kila moja ina sebure, jiko na vyumba vitatu vya kulala ( ambapo viwili katika vitatu vina...
mwenye kufahamu sehemu nzuri ya kufanyia sherehe kama harusi au send off isiyopungua watu 200 iwe outdoor au indoor, ikiwa outdoor iwe sehemu yenye at least garden
msaada wenu tafadhali!!
Hallo wa jf ninajogoo wangu machotara na wakubwa wenye afya wanuzwa 17000/= lakini pia bei inapungunzwa na kwale ambao wanahitaji kuanzia wawili tunaelewana kwa bei poa.. napatikana tabata...
Habari zenu wana jamii, Nauza Kiwanja kikubwa Dodoma. Eneo Kisesa Magharibi (High Dencity Area), Nyaraka muhimu zipo. DALALI HATAKIWI.
Kwa anayehitaji;
Maelewano / Mawasiliano, Piga simu: +255...
utoaji wa mizigo bandarini na kuigiza mizigo kutoka nje ya nchi kama magari na container karibuni tunatoa huduma iliyokuwa bora na kwa muda muafaka pia utoaji wa mizigo airport poa karibuni sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.