Kwetusongea
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 117
- 45
Ni aina ya West point na ni ya milango miwili kwa 350000 anaehitaji tuwasiliane 0718096900
Mkuu upo wapi?weka picha
Huyu atakuwa kwao Songea km inavosema ID yake, analeta thread ya biashara then anakimbia!
Mwenye no ya whatsapp aweke nimtumie picha nmeshindwa kiattach