Habari Wananchi
Ninatafuta pikipiki/Tri-cycle ambayo inakuwa imefungwa bowser ndogo kwa nyuma kwa ajili ya kuuza maji.Je nitazipata wapi?Bei yake ni shilingi ngapi za kitanzania? Kwa mwenye...
A 2 storey house with 4 all en-suite bedroom and a master bedroom with spacious balcon and a jacuzzi. An open floor plan with a spacious kitchen and a dining room and living room. There is also a...
Habari Wakuu,
Chuo cha EMPOWER SCHOOL OF HEALTH kilichopo New Delhi, India kinatangaza nafasi kwa ajili ya kujiunga na kozi ya post graduate diploma in global health procurement and supply chain...
Husika na kichwa cha uzi.
iPad mini ipo sokoni ikiwa na sifa zifuatazo:
i) Internal memory 16 GB
ii) iOS 8
iii) Camera: front & back
iv) Dark blue in colour
v) Ipo ķatika...
StarLink group kwa kutambua changamoto mbalimbali zinazozikumba shule mbalimbali hasa za Sekondari namna ya kutunza nyaraka mbalimbali za shule, zikiwemo;
1) Ripoti za Wanafunzi
2) Record za...
msaada bei ya pete yenye madini ya Tanzanite, mwenye utaalamu wa hizo pete, nahitaji kumnunulia bi harusi wangu mtarajiwa.
Nahitaji mawazo please. Ahsanteni.
Nauza iphone 5....ni used ila bado iko kwenye hali nzuri.....ina gb16 na rangi yake ni nyeupe. Simu nimei update mpaka latest iOS
Bei ni 520,000
Kama unataka picha ama kwa mawasiliano nitafute...
Karibuni mjipatie external hard disc na internal kwa bei nzuri bei ni kama ifuatavyo
external 2tb bei ni tsh 20,0000
internal 2tb ni tsh 18,0000
external transcend 1tb ni 14,0000
internal...
Wakuu eti mashine ya kukamulia mafuta ya alizetii bei ya chini kabisaa naweza pata kwa bei gani na uwezo wake wa ufanyaji kazi...kwa saa inakamua lita ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.