Pete yenye Madini ya Tanzanite ni bei gani?

Pete yenye Madini ya Tanzanite ni bei gani?

mkolosai

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
1,578
Reaction score
1,108
msaada bei ya pete yenye madini ya Tanzanite, mwenye utaalamu wa hizo pete, nahitaji kumnunulia bi harusi wangu mtarajiwa.

Nahitaji mawazo please. Ahsanteni.
 
Ndugu zangu, nahitaji pete ya madini ya Tanzanite kwaajili ya bi harusi wangu mtarajiwa.. wenye uzoefu nisaidieni.
 
My sister anauza nzuri kweli kweli,nafkiri wanapima kwa uzito ila bei zake mhhhh,i didnot believe for the first time when i saw someone buying such a tiny thing for almost 6Million,infact The ring was superb but the Tanzanite was so tiny but still that expensive. Karibu Arusha,kibo palace hotel
 
kuna mawe ya aina nyingi sana yanafanana sana na tanzanite, kuwa mwangalifu na unaponunua na hakikisha wanakupa certificate of authenticity.
 
......inategemea na uzito na mchanganyiko wa madini.

Tanzanite na white gold ilicost milioni 4, hii bei ni miaka 5 iliyopita.

Ila jipange na mil 6 kuendelea kwa soko la sasa.
 
Back
Top Bottom