Nahitaji Mashine ya kukamua Alizeti

Nahitaji Mashine ya kukamua Alizeti

Pung'o boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
685
Reaction score
305
Wakuu eti mashine ya kukamulia mafuta ya alizetii bei ya chini kabisaa naweza pata kwa bei gani na uwezo wake wa ufanyaji kazi...kwa saa inakamua lita ngapi?
 
Mashine ya kati shilingi milioni sita, inakamua tani 4 za mbegu kwa siku
 
Back
Top Bottom