Iphone 5 inauzwa 520k

Iphone 5 inauzwa 520k

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Nauza iphone 5....ni used ila bado iko kwenye hali nzuri.....ina gb16 na rangi yake ni nyeupe. Simu nimei update mpaka latest iOS
Bei ni 520,000
Kama unataka picha ama kwa mawasiliano nitafute kwa 0763969066
 
Back
Top Bottom