Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,325
Habari wadau wa Bizness,
Nina shamba ekari 70 lipo Zinga(limepimwa na lina hati),Bagamoyo,1km kutoka barabara ya lami.Shamba lina Mashine za kunyonyoa,kukata kuku na mabanda ya kufugia,Ma freezer ya kuifazia nyama za kuku na nyumba ya kukaa mlinzi.
Price: 600,000 usd
Size: Sqm 343,000(Ekari 70)
Eneo ni tambalale.
Kwa mahitaji na kuliona ni PM