mkuu nenda vingunguti nyerere road TATA HOLDINGS wanauza paraffin wax nzuri kutoka egypt,ingia ndani department ya sales(nilienda hapo 2009) walikuwa na stock kubwa sana
pia kuna wahindi kkoo nimepoteza mawasiliano nao ila wapo mtaa wa pili kabla hujafika gerezani st karibu na jengo landmark hotel,pia wengine wapo karibu na kidongo chekundu mkabala na cocacola depot kkoo