Jee unauza nyumba ya kawaida, ghorofa, apartments kiwanja au kupangisha nyumba? Wasiliana na Kampuni ya CPM Business Consultants ili ikutafutie wateja. Kampuni ya CPM Business Consultants...
Jamani kuna siku humu jamvini niliomba maelekezo ya Hotel za mjini Morogoro kwa mapumziko, bahati mbaya niliondoka hewani ghafla na zoezi halikufanikiwa (kuna vimatatizo vilijitokeza), nataka...
Nauza eneo la ardhi lenye ukubwa wa takribani ekari 4. Halina hati rasmi. Liko sehemu inayoitwa Changanyikeni kama kilometa tano hivi kutoka Vikindu (barabara kuu ya kwenda mikoa ya Kusini). Ni...
A brand new 4 bedroom house for sale at Mbezi Baech (Rungwe Road). The house have a servant quarter, ample parking space, big well maintained garden and a swimming pool. The asking price only USD...
Ipo eneno lnaitwa Chgombe, TEMEKE, inatazama baraba ya Chang'ombe
Ina ukubwa wa kutosha duka la vipodozi , au ofisi a duka la chakula aunk.
Ina mlago wa aluminium na floor tiles ndani na nje...
Nissan Civilian T 884 CWZ ya Rangi ya njano inauzwa, ipo kwenye hali nzuri na imefanya kazi kuanzia october 2014, inafanyiwa service. Inauzwa kwa kuwa zinahitajika fedha kwa haraka sana. Bei ni...
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumebadili jina la kampuni kutoka MRINA UPDATES kwenda INDEX TECHNOLOGY LTD.
Tunakuhakikisha mabadiliko zaidi kwenye huduma zetu za Web Design & Hosting, SEO na Mobile...
Mahali: kigamboni kwa URASA
Muingiliano: Ni sehemu iliyochangamka na ina wakazi wazawa na sehemu kubwa mji unachangamshwa na wanachuo kutoka vyuo kama IFM, CBE, Mwl.Nyerere na Chuo cha Utumishi...
Ipo kwenye hali nzuri milioni 5 tu, maongezi yapo. Changamkia mkoko huo hutojuta maamuzi yako, kwann uikose kwa mfano embu check mwenyewe. Nipm aliyetayari tufanye biashara
Kiwanja kina Barabara inayopitika vema, Kipo Tegeta A, kina ukubwa wa upana 40 na Urefu wa 35. Kinauzwa kwa Tsh. MIL 15, Maongezi yako.
FOR: SERIOUSLY BUYER PLEASE CONTACT 0654- 922223.
Iam urgently looking for that gadget,iwe na hali nzuri kimuonekano mna isiwe mbovu tafadhali ikiwa inakubali line zote itakuwa poa zaidi.budget 80,000 cash in hand.