Ipo kwenye hali nzuri milioni 5 tu, maongezi yapo. Changamkia mkoko huo hutojuta maamuzi yako, kwann uikose kwa mfano embu check mwenyewe. Nipm aliyetayari tufanye biashara
Ipo kwenye hali nzuri milioni 5 tu, maongezi yapo. Changamkia mkoko huo hutojuta maamuzi yako, kwann uikose kwa mfano embu check mwenyewe. Nipm aliyetayari tufanye biashara
Mkuu kuwasaidia wale wenye nia au hamu ya kuwa na magari ni vizuri ukiweka vitu kama ukubwa wa injini, ulaji wa wese, kama ina bima au la. Je imewahi kupata ajali au la na nyingine ambazo kabla mtu hajapiga simu anakuwa tayari anajua kirahisi.
Haya jamani kuna wanaokaribia angalau 3.5m niweze kumkabidhi mtu chake, changamkieni fursa hiyo fanya maamuzi sasa ya kumiliki gari yako. Kwann uikose hii corsa kwa mfano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.