Eneo linauzwa Changanyikeni Mkuranga

Eneo linauzwa Changanyikeni Mkuranga

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2006
Posts
1,838
Reaction score
707
Nauza eneo la ardhi lenye ukubwa wa takribani ekari 4. Halina hati rasmi. Liko sehemu inayoitwa Changanyikeni kama kilometa tano hivi kutoka Vikindu (barabara kuu ya kwenda mikoa ya Kusini). Ni karibu na barabara. Linafaa kwa kilimo, ufugaji na makazi. Lipo karibu na mto ambao una maji mwaka mzima. Bei maelewano. Unahitaji? Wasiliana nami 0653-324136 au 0754-384136. Au kwa e-mail: ruge.kahwa@gmail.com.
 
Back
Top Bottom