Index Technology Ltd, New design, New technology (Muonekano mpya kwa bei rahisi)

Index Technology Ltd, New design, New technology (Muonekano mpya kwa bei rahisi)

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,595
Reaction score
1,863
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumebadili jina la kampuni kutoka MRINA UPDATES kwenda INDEX TECHNOLOGY LTD.

Tunakuhakikisha mabadiliko zaidi kwenye huduma zetu za Web Design & Hosting, SEO na Mobile Apps Development.

Tuna design website za kisasa kwa bei ya kawaida sana, hosting packages za bei ya chini kabisa Tanzania kuanzia sh 40,000/=, Mobile Apps zenye mvuto na functionality za kisasa.

Tizama baadhi ya kazi zetu, na hakika utatutafuta. Pia tunakaribisha Partnership katika maswala ya ICT.

instagram logo.png
 
Back
Top Bottom