Kiwanja kinauzwa, Kipo Tegeta A upana 40 urefu 35

Kiwanja kinauzwa, Kipo Tegeta A upana 40 urefu 35

mhemeavisogo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
345
Reaction score
201
Kiwanja kina Barabara inayopitika vema, Kipo Tegeta A, kina ukubwa wa upana 40 na Urefu wa 35. Kinauzwa kwa Tsh. MIL 15, Maongezi yako.

FOR: SERIOUSLY BUYER PLEASE CONTACT 0654- 922223.
 

Attachments

  • 1425481115495.jpg
    1425481115495.jpg
    118.2 KB · Views: 489
  • 1425481184761.jpg
    1425481184761.jpg
    141.2 KB · Views: 461
Tegeta A NDO IPI?

Kuna tegeta kwa NDEVU
tEGETA KIBAONI..
Tegeta wazo...
 
Sijawahi kuona upana mrefu kuliko urefu!
 
Tegeta A unaweza kupitia njia ya Kimara hadi matosa, AU unaweza kupitia njia ya Mbezi mwisho (Mbezi ya Kimara) NB: Nauli kutoka Mbezi hadi Tegeta A ni miatano. AU unaweza kupita njia ya Makongo juu. Kwa atakae hitaji namba hizo hapo juu tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom