Nauza Pikipiki za kubebea mizigo (Guta)

Nauza Pikipiki za kubebea mizigo (Guta)

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,220
Nauza pikipiki za toyo maalumu kwa ajili ya kubebea mizigo. Zipo mbili

Moja ina engine ya cc200. Inakwenda kwa mil 2.5mil
Na nyingine ina engine ya cc 250..hii inatumia radiator. Ina nguvu sana inakwenda kwa 3 mil

Zipo kwenye hali nzuri. Zilikuwa zinatumika kushambazia cocacola toka kwenye depot kwenda kwa wauzaji wa rejareja.
Zinapatikana tegeta.
Kwa atakae zichukua zote mbili ntamuuzia kwa 4.5m kwa zote.

Mawasiliano 0755815174

Ntaattach picha baadae kidogo
 
Back
Top Bottom