Nina supply Diesel door to door

Nina supply Diesel door to door

Ibravo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
539
Reaction score
202
Habari
Kama title inavyoojieleza;
Litre ya diesel 1,545 free transport kuanzia litre 200 na kuendelea Kwa DSM pekee.
NB:Kama tutaingia ktk continueos delivery bei itapungua kulingana na order ya litre
Karibu tufanye biashara
0789 780 200
 
Isije ikawa ni Dieseal iliyochanganywa na mafuta ya taa watu wakaharibu magari yao kwa kufuata urahisi wa bei
 
Ukija kwangu nakutimua, maana unaweza ukaniunguzia nyumba
 
Isije ikawa ni Dieseal iliyochanganywa na mafuta ya taa watu wakaharibu magari yao kwa kufuata urahisi wa bei


Hapana ni diesel halisi yaan sisi ni kama sheli inayotembea,kama una generators kubwa zinazotumia diesel basi karibu nasi tufanye b'ness pamoja.
 
Back
Top Bottom