Fikira kali
Member
- May 30, 2012
- 8
- 0
Ina vyumba nane vinne master leseni ipo ni ya kuinua (renewing) vifaa vya ndani hakuna. sh 35000000 Dalali hatakiwi. Picha nitaweka baadae. Pia Kisima kipo cha kusafisha kwa power compressor. 0758041365
yah! yote ni matumizi ukitaka kufanya hivyo5rooms si nyumba ya makazi tu?
ina vyumba vitano vyote self bado finishing. 25000000 .picha baadae
0758041365
kuhesabia hizo sifuri kunamix. ebu.sema ni mill 25 au 250?