Badilika na Teknolojia: Pata flash za Kisasa

Badilika na Teknolojia: Pata flash za Kisasa

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Nauza flash za kisasa amabzo unaweza kutumia kwenye smart phone yako kuhamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye flash bila kutumia usb cable,kuplay nyimbo na video kutoka kwenye flash kupitia simu yako
Flash hiz ni life span
Flash gb zimegawanyika kuna 8,16,na 32
Vile vile kwa wale wanao pata usumbufu na madereva tun kitu kinaitwa car video recorder
Hii ni camera ina fungwa kwenye gari ila video unauwezo wa kuiona kupitia simu yako muda wowote
Karibun piga simu
0656.43 66 62
 
Back
Top Bottom