Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika na kichwa cha habari juu,weka na namba nikupigie tufanye bissness.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye nayo anipigie 0714404057 nipo Dar. Kwa kutuma picha whatssup 0755033997
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
0 Reactions
41 Replies
6K Views
habari zenu wanajamii forum<br>narudi tena kwa mara nyingine, nahitaji vifungashio (package) ya vikopo vya 250ml, 350ml na 500ml.<br>kwa anaeweza kunisaidia sehem ya kupata au anauza ivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wadau...natafuta vifaranga aina ya sato wasiozaa yaani mono sex na vifaranga wa kambare.Yoyote mwente navyo au anaejua pakuvipata pls naomba msaada. Mawasiliano yangu ni 0689900000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa.Naomba kufahamu ni wapi kwa dar-es- salaam naeza pata viatu vizuri vya mtumba kwa bei ya jumla.( sio balo zima lakini).
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajamii Nauza line za Mpesa na Tigo pesa, ni zangu na zinafanya kazi sema nimekosa msimazi aliyepo kaondoka, ndo sababu ya kuuza kama uko serious kwa manunuzi nipigie...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Title: TOYOTA NADIA Condition: Used Engine Type: 3S Registration : T......ASQ Year: 1,998 Mileage: 350,923 Engine capacity: 1,998 Transmission: AT Fuel type: Petrol Description...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung Galaxy star Duos Sim nzuri katika halinzuru Inarun 4.1.2 Android Version GT-S5282 Nipe offa utatoa shilingi ngapi reasonable prices tafadhali
0 Reactions
0 Replies
767 Views
1.TUnaweka picha kwenye nguo yoyote kwa kutumia mashine za kisasa na kuandika majina kama picha inavyojieleza 2. kwa ajili ya wahudumu kwenye harusi..ukitaka wavae T shirts zenye picha yenu na pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ina hali nzuri ila haisomi laini inatumia laini za marekani ila mm naitumia vizuri sana kwasababu natumiaga wi fi nina samsung s7500 ambayo natumia kwenye mawasiliano na kurusha wi fi tu ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Kwa ambaye yuko interested kuna laptop mpya hapa inauzwa. Sifa zake ni kama nilivyoainisha hapa chini: LAPTOPT SPECIFICATIONS: Brand Name: Toshiba Portege Conditions: Brand New...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninatafta discs ambazo ni original maana maduka mengi dar zimejaa za pakistani.Mwenye taarifa anijuze
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Bei isizidi 130 kwa anaejua aje pm kuna mtu anahitaji
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Kama tangazo linavyojieleza, gari iwe katika uwezo wa kufanya kazi.. Call: 0685 033 477
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Web Designs Company is specialized in advanced web services including website design, website development as well as software development, web hosting, Domain registration. We have a team of best...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Nauza memory card bei chee!! Ni-used bt Still in gud conditions so kama uko interested Call 0713943432 Nipo dar Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu natumai siku imeanza vema kwenu nyote Nina mgen wangu anaeanza maisha hapo mjini iringa anaitaji nyumba ama vyumba 2 na sebule ili aanze maisha; na kwa kua ana familia anahitaji mahali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza mashamba yangu yaliyopo ruvu yenye ukubwa tofauti kwa pamoja jumla ya ekari zaidi ya 12. Mashamba matatu ya ukubwa wa ekari 3.5, na 1.5, na 3.5 yapo kuanzia mtoni na umbali wa mita kama 500...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka:2002 Model: Nissan Caravan Van Model Code GE-DQGE25 Engine Size 2,380cc Engine Code KA2 Inafanya kazi,biashara Bei 16m. Wasiliana nami PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom