Amka asbhi sana, saa kumi ikukute upo karume kwenye yale mabanda (sio kwenye yale majengo ya machinga complex)! Huko watu wanauza kwa jumla, kama mnada hivi, kwahiyo ubora wa kiatu na bei itatokana na kupandiana bei kati yenu wanunuzi! Ikifika kwenye saa kumi na mbili hivi, minada imeisha kwahiyo unatakiwa uwahi!