hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Ina hali nzuri ila haisomi laini inatumia laini za marekani ila mm naitumia vizuri sana kwasababu natumiaga wi fi nina samsung s7500 ambayo natumia kwenye mawasiliano na kurusha wi fi tu ila kila kitu natumia kwenye s4 kuanzia internet whassap jf na hapo mm nakuzia simu zote mbili