Shamba linauzwa Ruvu

Shamba linauzwa Ruvu

Billionea

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
44
Reaction score
5
Nauza mashamba yangu yaliyopo ruvu yenye ukubwa tofauti kwa pamoja jumla ya ekari zaidi ya 12. Mashamba matatu ya ukubwa wa ekari 3.5, na 1.5, na 3.5 yapo kuanzia mtoni na umbali wa mita kama 500 toka barabara ya lami na ruvu mjini na la mwisho umbali wakama kilometa 1 toka ruvu mjini . Mashamba yote kwa milioni 15. Kwa mawasiliano 0655103636/ 0713927527
 
ninahitaji shamba huko
so ukikosa mnunuzi wa haraka uje unitafute
 
Umewai Fanya Kilimo hapo na nikilimo gan naje naweza Fanya Kilimo cha umwagiliaj kwa kuchukua maj mto ruv au yote yako mbal na mto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom