Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza I pad Air 2 Cellural + Wifi 64 GB imetumika kwa muda wa miezi 3. Bei Tshs 1,100,000. Mwenye kuhitaji tuwasiliane Whats Up 0753005497.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangaza Marketing Solutions: Tunauza Samsung not 3 tsh 700,000/= Contact us: 0714-074040,0767074040,0785-074040.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Nilikuwa nahitaji sehemu nzuri ya kutengeneza (kuweka vioo) lens kwa ajili ya miwani yangu ya Rimless. Nahitaji kujua bei na inachukuwa muda gani kukamilika. Asante sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unahitaji rav4 ya milango mitatu njoo uchukue hii bei ni 6m.. Maongezi yapo nichek Kwa 0713415537
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu, Kichwa kinajieleza hapo juu. Tunahitaji Bango moja la kama m2 urefu, Musoma Mjini..
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy s5 mpya full boxed ikiwa na nyaraka au stakabadhi zote halali zikiwemo charge,,earphones na risiti pamoja na Warranty ya miaka miwili Sababu...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Yeyote anaehitaji huduma ya service na matengenezo ya gari yake kwa bei nafuu tuwasiliane kupitia 0766981308. Huduma hii naitoa haswa kwa wakazi wa Dar, kwa wakazi nje ya Dar tutaelewana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji gari hiyo iliyo kwenye hali nzuri, I prefer dark blue or black in colour. Tafadhali isiwe ilishawahi kubeba abiria kama zile za mbezi_ kkoo. Iwe imesimama kweli kweli bei hatutashindwana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nyumba yenye vyumba vinne, Jiko, Sebule mbili na Dinning ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa square mita 645 inauzwa. Hati zipo na haina mashaka. Mahali ni Kigamboni eneo la MIKADI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari!kwa wale wenye kuhitaji mayai ya Kwale yanapatikana hapa Dar es salaam,kwa bei ya 20,000 kwa tray,punguzo lipo kutokana na idadi ya tray utakazochukua,kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni...
0 Reactions
52 Replies
16K Views
Nauza laptop hp 450 bei
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Samsung Galaxy Original S3 nzuri hali tamu Shilingi 280000 njoo PM tuongee
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Kwa masomo ya History, Kiswahili, na English language Tupo Kinondoni mkabala na mahakama KWA MAELEZO ZAIDI PIGA, BEEP AU TUMA UJUMBE WhatsApp 0754 895 321
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Samahani wakuu. Naomba msaada wa faida ,manufaa yanayopatikani ndani ya FOREVER mm kama kijana nlikuwa nahitaji kujiunga nami niwe kama member na Muuzaj(msambazaji) wa hizo products. ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Rasta zinauzwa kwa wale wenye dreads unaweza kuonganisha ukawa na rasta ndefu bei ni nzuri sana ya uhakika njoo PM tuongee
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie viatu vya kimasai jumla elfu13 kuanzia viatu10 rejareja elfu17
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Nyumba ya vyumba viatu, sebule na eneo kubwa nnje inauzwa makongo juu mpakani na goba, nyumba ipo karibu na barabarani, bei ni 70M.. Mazungumzo yapo na mwenye nyumba, Kwa ambao wapo serious na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaji printer kwa ajili ya kuprint documents mbalimbali ofisini. Iwe katika hali nzuri na isiwe na tatizo lolote. Nipo buguruni, Dar es salaam 0768932789 0659528724
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, endapo unahitaji blog ya kisasa yenye mvuto na inayo load kwa urahisi basi wasiliana nasi kwa PM Bei ni 20,000/= tu na ukihitaji pamoja na domain tutakufanyia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
number c haina tatizo lolote ipo dsm bei 6 mil 0713774746
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom