Nyumba ya kupanga inahitajika Iringa

Nyumba ya kupanga inahitajika Iringa

Mssesejunior

Senior Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
130
Reaction score
31
Wakuu natumai siku imeanza vema kwenu nyote

Nina mgen wangu anaeanza maisha hapo mjini iringa anaitaji nyumba ama vyumba 2 na sebule ili aanze maisha; na kwa kua ana familia anahitaji mahali salama pa kuishi maeneo ya mjini. Kodi iwe inayoakisi maisha ya mtu wa kawaida

Natumai ntapata wemyeji wakarim na wakweli wampatie malaz mgen wangu
 
Back
Top Bottom