Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo linauzwa Banana Ukonga karibu na barabara mita 100. Kunafaa kwa matumizi ya Biashara aina yoyote. Simu: 0652 766 510
0 Reactions
0 Replies
759 Views
plot fo sale in banana ukonga ideal for commecially or residential contact 0652766510
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa Square metre 2350 kinauzwa. Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na Dege appartments, ni tambalale hakina miinuko wala mabonde. Miundo mbinu ya barabara na umeme tayari...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Tunauza trekta limeagizwa toka uingereza ni massey ferguson 165 .ilikuwa inatumika kule ila imekuwa refurbushed kule kule.... ina jembe jipya kabisa. Njoo pm kwa maelezo zaidi na pictures ...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni ya mwaka 2011 na imetembea Km 32000 tu picha chini hapo na bei ni dolla 70000 maongezi yapo kidogo kwa mawasiliano tumia hii no 0768359292 gari ipo Dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
nyumba ya kupangisha morogoro ina vyumba 3 kimoja wapo ni master., kuna sitting room na dining room na parking space.. Kipo maeneo ya modeko kwa maelezo zaidi 0719004668
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fremu ya biashara Mtwara inahitajika isizidi 100'000/- kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipo kihonda kwa chambo kimepimwa na kina hati ukubwa wake ni sq mita 1000 bei inaanzia sh milioni nane...,.ni pm kama uko na nia.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Toyota passo good condition Mil 6.5
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya Magomeni Kagera Ina wapangaji na Ipo katika hali nzuri bei ni milioni 35, Kwa mawasilano piga namba 0764438687
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pata suzuki carry Gari nzuri sana kwa biashra 0656 43 66 62
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mbao hizo ziko kama 300 ,naatafuta tajiri na aseme atanunua kwa jumla kwa bei gani kwa mbao moja.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
sehemu ya kufanyia biashara aina ya chips(kiepe) inahitajika.. maeneo yoyote yale ya UBUNGO, KIMARA, MBEZI YA KIMARA... kama una hyo sehemu plz tuwasiliane.. 0755175252 au 0769225102...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza samsung galaxy s2 bado ina hali nzuri kabisa. rangi nyeupe bei 180k. 0659626782
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Natafuta simu yoyote ya nokia yenye uwezo wa wasap kwa bei isiyozid 50,000/= tu
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Suzuki Carry Namba b na c Bei 5.5 kwa 5 m 0656 43 66 62
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Good for surfing email and social media site while travelling .battery inakaa masaa 3 na robo ,ina webcam .window 7, 250GB Hard drive,1.00ghz, 1GB ram .Bei 300,000.00 maelezo zaidi piga simu...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Nina iPhone 5s niliyoitumia kwa miezi kadhaa naiuza kwa bei hiyo, ni 16GB, iOS 8. Simu ni original na iko katika hali nzuri, haina michubuko na ina hard screen protector. Maelewano yapo...
0 Reactions
3 Replies
748 Views
Tangazo Tangazo: Nyumba ipo kwenye ghali nzuri na mazingira Mazuri inauzwa barabara ta bagamoyo,kisha waingilia mkono wa kushoto kuelekea IPTL,Karibunna shule ya Secondary Cornelius. Kwa maelezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikon D40 camera iko kwenye hali nzuri imetumika mara chache sana memeory card pia utapewa price tsh 625,000.00 piga simu 0712652110. Dar
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Back
Top Bottom