mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89

1.TUnaweka picha kwenye nguo yoyote kwa kutumia mashine za kisasa na kuandika majina kama picha inavyojieleza
2. kwa ajili ya wahudumu kwenye harusi..ukitaka wavae T shirts zenye picha yenu na pia walinzi wa mlangoni na ukumbini.
3.Tunaprint T shirts za kumbukumbu kama harusi, misiba na berthday. kwa bei nafuu sana

machine za kuweka picha kwenye nguo..kwa sekunde 10 unachukua nguo yako.