Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Aliyenayo isiyozidi mwaka tuwasuliane. 0755033997. Bei maelewano
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ipo arusha na hipo katika hali nzuri ntafute hapa 0789-246-849
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1492, ni umbali 7km kutoka feri ya Kigamboni na hakiko mbali na barabara ya lami. Bei ni 70m. Kwa mahitaji ya kiwanja hiki na vingine tuwasiliane: 0657 145 555.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika mtungini karibu na shule ya secondary chanika. Bei 12mil 0784198482. Ukiwekeza kwenye ardhi hutojutia hela yako baada ya mwaka mmoja utakiuza mara mbili...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Nauza iPhone 5s laki 9 mwenye ni ani PM
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau naombeni kujua bei ya kiwanja chenye ukubwa wa robo heka maeneo ya Chanika.Je,naweza kupata kwa shilingi ngapi?Nisaidieni wadau wenye kujua.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa, Ipo Dar es salaam, maeneo ya Sinza, Barabara ya Shekilango, Block "B" mita sitini kutoka barabarani. Bado ipo katika hali nzuri na kuna fremu tatu za maduka, bei ni milioni 400 tu...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika tungini karibu na chanika secondary. Bei 12mil. Contact 0784 198482 Dalali on one condition zangu 12mil cashcash Ndugu zangu wekeza kwenye hiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakaka na wadada This sms goes to all men out there. Nauza Vitz nzuri kabisa kwa bei poa kabisa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote sasa kwa nini kama unauwezo usimchukulie...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Ndgu nina htaji ya kujua wapi wanapouza bello za mitumba nguo za watoto kwa dar.. Kama wewe unauza ntafte namba hzi. 0688053521 whatsap au 0657504159 sms/call
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imekwisha uzwa tayari jamani
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Engine imefunguliwa kwenye gari nzima inayotembea. Kwakuwa ni model ya umeme, crankshaft sensor na vgt valve hazipatikani. Kila kitu kingine kizima. Spare zote zilizobaki zinaingiliana na 4D56 ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, naomba niwataarifu kuwa nauza kuku wa kisasa, huu ni mwezi wa nne tangu nianze kuwafuga, Bei yake shs elfu 8, (Tshs 8000) kwa kuku mmoja. MWENYE KUHITAJI nitumie PM
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa, mkoani MTWARA, maeneo ya Mji mwema kwa mawasiliano pia namba. 0755671568 na 0654546353. N:B Mawasiliano yafanyika kuanzia jioni kwani muda mwingi nipo darasani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tecno H6 180000 Tecno R5 170000 Tecno T9 300000 Tecno M3 120000 Tecno H5 135000 Tecno L6 230000 0719796574
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Wadau, natafuta nyumba ya kupanga yenye spec zifuatazo. Idadi ya vyumba vya kulala : 2 Sebula, Choo cha ndani, Maji, Parking, Maeneo ni Ubungo, Mabibo, Sinza. Tabata. N.B. Sio lazima iwe nyumba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu, nahitaji bajaji used kk kuna mtu mwenye nayo ani PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom