Kiwanja kipo Vikindu Mkuranga karibu na barabara kuu umeme umefika eneo hilo, kina ukubwa wa futi 60 urefu-50 upana kuna barabara ya Gari inayofika mpaka kwenye Kiwanja. bei million 4 maongezi...
Spika zenye uwezo mkubwa wa sauti na zinadumu kwa muda mrefu zinauzwa kwa bei nafuu sana order sasa
shilingi laki na nusu
picha zitafuata chini
"ukipiga teke fuko la hela utaokota kibunda cha...
habari wakuu...nahitaji mtu wa kubadilishana nae smartphone.
mm nina Samsung Galaxy s5...used for 1 month...haina tatizo lolote na ni GENUINE....means its ORIGINAL.
#Km una simu nzuri...
4.3 mil bei haipungui kwa sababu gari ina hali nzuri sana. Haijawahi kutoka nje ya dar safari zake ni hapahapa mjini tangu inunuliwe. Kwa MAELEZO zaidi na PICHA pm namba yako nakufata watsapp.
Made in taiwan original nimeitumia kwa mda haina tatizo..bei ni tsh 80000 haipungui hata kidogo..sababu ya kuuza nimepata computer yenye capacity kubwa nipo dar 0719397568
These are brand new phones from USA - ''kitu ndani ya Box''
Sony Xperia Z1 Compact goes for tsh. 950,000 only
Samsung Galaxy S4 Active - tsh. 850,000 only!
Please PM me!
get it
Picha imekataa ku~upload~ika.
Aina ni ViewSonic, ViewPad 10s, Display '10.1, wireless/wifi only.
Inafanya kazi vyema, sema ina single crank ila haina shida.
Kwa picha ni check...
Habari zenu wadau,natoa mafunzo ya ujasiriamali namna ya kutengeneza bidhaa mbalimbali mfano,sabuni za unga,sabuni za maji,dawa za chooni,tiles cleaner,sabuni za miche,shampoo,mafuta ya...
Inahitajika gari yeyote ndogo iliyo katika nzuri na isiyodaiwa vibali kwa bajeti isiyozidi million 6, lkn malipo kwa installment 3 baada ya kuandikishana kisheria. Gari iwe ndani ya Dar es Salaam
Samsung Galaxy Trend detailed specifications
General
Alternate names GT-S7392
Release date September 2013
Form factor Touchscreen
Dimensions (mm) 121.50 x 63.10 x 10.85
Weight (g) 126.00...
Toyota hilux surf inakodishwa kwa safari ya kwenda popote hapa Tanzania,ipo ktk hali nzuri sana.
ina four wheel drive high na low,full ac,sony xplode super woofer,dvd&cd,power sunroof,spot light...
Wakuu kama kuna dalali yeyote wa Nyumba maeneo ya Kigamboni naomba tuwasiliane nahitaji nyumba ya vyumba 2 fence na vitu vingine kama tiles nk niPM.Bajeti laki tatu kwa miezi sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.