Nahitaji bajaji used

Nahitaji bajaji used

motivater

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
67
Reaction score
14
Habari za asubuhi wakuu, nahitaji bajaji used kk kuna mtu mwenye nayo ani PM
 
Kaka nakushauri ila za wenzako changanya na zaki.Bajaj used ni pasua kichwa yan kila day utakua Garage tu unapambana na mafund. Imenitokea na ndio mana sitak ikutokee na wewe
 
Mkuu nunua mpya tafadhali @ tshs 610,000/= utafurahia uchapaji kazi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom