Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Nauza iPhone 5s laki 9 mwenye ni ani PM
Picha..
Hata nusu ya hiyo hupatiNauza iPhone 5s laki 9 mwenye ni ani PM
Hata nusu ya hiyo hupati
Kwani hujui iPhone 5s
Kwani hujui iPhone 5s
Kwani hujui iPhone 5s
Sijaulizia picha ya iPhone 5s..nimeulizia picha ya simu yako unayouza. Picha zilizo online si lazima zifanane na ya kwako.
Sasa uliileta humu ya nini siungempa mama yakoMazushi wewe kama sipati heli nimpe mamaa
Achana naye Jambazi huyoiPhone zote zipo swa ni mpya kabisa check on line
Maelezo yako hayana hadhi ya laki tisa labda kama ni laki tisa Zim dollar.
Tatizo la Wabongo hata kujieleza huwezi wala supporting attahment hakuna halafu unawaza kufanya biashara online? Pumbavu kabisa.