Nauza kuku wa kisasa wa mayai

Nauza kuku wa kisasa wa mayai

Mwembeni

Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
51
Reaction score
16
Wanabodi, naomba niwataarifu kuwa nauza kuku wa kisasa, huu ni mwezi wa nne tangu nianze kuwafuga, Bei yake shs elfu 8, (Tshs 8000) kwa kuku mmoja. MWENYE KUHITAJI nitumie PM
 
unapatikana wapi mkuu?
 
Wanabodi, naomba niwataarifu kuwa nauza kuku wa kisasa, huu ni mwezi wa nne tangu nianze kuwafuga, Bei yake shs elfu 8, (Tshs 8000) kwa kuku mmoja. MWENYE KUHITAJI nitumie PM

Wapo wangapi? Upo mkoa gani? Sababu za kuuza? Kampuni gani?
 
Wapo kuku mia 5( 500), nipo Dar es salaam mbezi ya shamba, Sababu za kuuza ni kuwa tangu walipofikisha week ya 12, kuku wameanza kufa kwa siku mmoja hadi wawili, tulienda kumcheki mmoja ikaonekana wana ugonjwa wa 'mareks', hiv sasa17, So nahitaji kuwauza ili ninunue wengine. Hao kuku niliwachukulia pale tazara
 
Duh! Marek sinasikia haina tiba. Mh hatari hiii
 
Je, hakuna utaratibu wa fidia kwa kuwa jukumu la kuchanja Mareks ni la muuzaji vifaranga? Mwenye kujua atujuze tafadhali.
 
Duh bora umekuwa muwazi, mareks haina tiba na kabla ya kuanza kutaga wanakufa na kupooza wengi. Ukinunua wa kuchinja labda. Fidia akupe nani wale dalali mliandikishana wapi
 
Nakushauri wakati unasubiri wateja tafuta dawa ya pullorum uwatibie maana nao unafanana na mareks kidogo. Ubungo mataa kuna duka la dawa wana keproceryl ni nzuri jaribu uone
 
Asante mama Joe
 
Pole sana, pale tazara nasikia kuna wahuni wengi sana, kwa miezi mitatu hiyo 8000 bado ni bei ya hasara ila wauze tu kwa nyama uanze upya. Next time usitumie madalali nenda kampuni zenye ofisi na zinazofanya kazi tangu muda mrefu.goodluck
 
Alipotaja Tazara tu nikasikitika sana..nilitegemea ataje kampuni fulani kisha tumuulize risiti tumsaidie pa kuanzia..Jamani tununue vifaranga kwa kampuni na mawakala wa kueleweka ili ujue unaanzia wapi wakiwa na tatizo la kutokea shamba.

Nimeumia kama mm ndiye niliyepata hasara...Pole sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom